Chambi talks lyrics Desiigner - zombie walk
Eddie - chambi talks
[Verse 1]
Kwanza chambi kupiga, ndo mpango okey/
Nasaka sichoki, na sitaki delay/
Am done with your work, nachotaka ni pay/
We hater ni crazy stay out of my way/
Nakuona ni mjinga sijali whachu say/
Ukileta ushenzi unaminywa kizenji/
Niggas never give up niggas never stop never na shooter akilenga akosei/
Na bado MUNGU ana-bless
We hater kazi yako ku hate/
Ukweli kuficha sipendi
Ni sheedah nikiwa on the stage/
Mtakula sana ma-cocaine mnajiona kama Lill Wayne /today is today shit sana mi siongei, real! real! Heeii /
Unasema uwezo mi sina, lakini unataka kuniiga/
Nigga nakuona ni mbwiga,
Nnavyochana zaid ya jiger/
Goalkeeper am on my way
Niko na mpira, Eddie na mpira na magoli shinda /
Nakuchapa tu na ulimi sitakagi league, ni bora tu yeeshe/
Studio yani kama kitchen napika mavitu fans niwalishe/
Full sheedah sio shega, kama sio real nigga/
Home waniita mi Edgar
fans wananiita mi fricas/
[Chorus ]
Chambi talks, saka doo, shika chapaa, hivyo bro/
Chambi talks, saka doo hivyo bro
Shika chapaa hivyo bro saka doo/x2